Kiswahili Insha Practice Questions« Back to Questions List
Swali la lazima
Andika insha juu ya mada zifuatazo
1. Andika dayalojia baina ya mtu na rafiki yake ambao ndiyo kwanza wakutane toka walipoachana katika
shule ya msingi.
2. Andika insha juu ya methali “Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba”
3. Kuboresha maisha katika magereza ni kukuza uhalifu. Jadili
4. Niliskia jina langu likitajwa. Mmoja akaniita nikatoka nje. Nilisikia msongamano wa watu nyimbo za
ushindi zikapanda juu!.................... Endeleza kisa hiki.
|
Please log in to post questions/answers: