Kiswahili Revision Notes

Aina Za Sentensi

Kuna aina nne za sentensi: sentensi sahili, sentensi ambatano, sentensi changamano, na sentensi shurutia. Maelezo zaidi ya kila mojawapo ya aina hizi za sentensi yanapatikana kwenye nakala ifuatayo. Pakua bila malipo.

(Visited 1,682 times, 1 visits today)

KCSEPDF.CO.KE

kcsepdf.co.ke is an online learning platform where tutors and students can access notes, revision questions, educative articles, stories, e-books, and more learning materials.

One thought on “Kiswahili Revision Notes”

Leave a Reply

Kiswahili Notes and Past Papers

Mambo ya kuzingatia unapoandika insha

Kuna baadhi ya mambo au masharti ya kuzingatia ili uandike insha bora. Hati nzuri inayosomeka kwa urahisi Mpangilio mzuri wa hoja – kila aya lazima iwe na hoja maalum iliyoelezwa kwa upana na ufasaha. Urefu wa kutosha wa insha – sana sana ukurusa moja na nusu had kurasa mbili. Lugha sanifu isiyokuwa na makossa ya […]

Read More
Kiswahili Notes and Past Papers

Aina za Nomino

Nomino ni majina ya watu, vitu, mahali, au wazo. Kuna aina nyingi za nomino k.v. Nomino za Kawaida Nomino za Pekee Nomino za Wingi Nomino za Dhahania Nomino za Vitenzi-Jina Nomino za Makundi 1) Nomino za Kawaida Nomino za pekee ni maneno yanayorejelea vitu vya kawaida kama vile watu, nyumba, mahali, mimmea na vitu. Nomino […]

Read More
Example of KCPE Insha
Kiswahili Notes and Past Papers

How to Pass in KCPE Insha Paper

Aina za Insha Katika shule ya msingi, wanafunzi hufunzwa aina nyingi za insha: Insha za methali Insha za mjadala Insha za Mdokezo Insha za Mada Insha ya mahojiano Insha za Mjadala Katika insha ya mjadala, mwanafunzi anatakiwa kutoa hoja za kuunga mkono au kupinga mada fulani. Kwa mfano: Andika insha ya mjadala kuhusu mada: Serikali […]

Read More