Kuna baadhi ya mambo au masharti ya kuzingatia ili uandike insha bora.
- Hati nzuri inayosomeka kwa urahisi
- Mpangilio mzuri wa hoja – kila aya lazima iwe na hoja maalum iliyoelezwa kwa upana na ufasaha.
- Urefu wa kutosha wa insha – sana sana ukurusa moja na nusu had kurasa mbili.
- Lugha sanifu isiyokuwa na makossa ya kisarufi
- Upambaji wa lugha kwa kutumia fani mbali mbali kama vile methali, istiara, n.k.
- Mawazo mazito na yanayotiririka vizuri
- Sentensi fupi fupi zinazoeleweka
- Uzingatiaji wa mada husika