Sabuni: Tafsiri ya hadithi fupi ya Lu Xun “Soap”

Sabuni

Sabuni

Huku akilipa kisogo dirisha la kaskasini chini ya miale ya jua ya mshazari, mkewe Simingi alizifua sarafu za waliokufa huku akisaidiwa na bintiye Siure, mwenye umri wa miaka minane. Hapo ndipo aliposikia hatua taratibu na nzito za mtu aliyevalia viatu vya kitambaa. Akabaini kwamba mumewe amerudi, ila hakujishughulisha naye. Aliendelea kuunda riale zake, lakini sauti ya miguu ilikaribia zaidi na zaidi, hadi ikasimama kando yake. Hakuwa na budi ila kuinua uso na kuona Simingi akishusha mabega yake na kuchutuma hobela hobela ili afikie mfuko wa ndani wa gauni yake ndefu.

Baada ya kuzinga na kusokota mkono wake kwa uchungu, hatimaye aliutoa mfukoni ukiwa na kifurushi chenye umbo la mstatili, ambacho alimpa mkewe. Akiichukua, mkewe alinusa harufu ya kipekee iliyomkumbusha mzeituni. Juu ya karatasi ya kijani kibichi kulikuwa na muhuri wa dahabu uliong’aa, na ambao ulikuwa na msururu wa miundo. Siure aliruka mbele kwa madhumuni ya kuchukua na kukipekua kifurushi hicho, lakini mama yake alimsukuma kando. “Umetoka kununua?” Aliuliza huku akitazama zawadi yake. “Ndiyo.” Alianza na kifurushi kilichokuwa mkononi mwake.

Karatasi ya kijani kibichi kilifunguliwa. Ndani yake kulikuwa na safu ya karatasi nyembamba yenye rangi ya mtende, Ilibidi safu hii iondolewe kwanza kabla ya zawadi yenyewe kufichuliwa. Ilikuwa nyororo, laini, na ngumu licha ya kuwa na rangi ya mtende. Vile vile, ilikuwa na msururu mwingine wa miundo. Ilijulikana kuwa karatasi yenyewe ilikuwa ya rangi ya krimu. Harufu ya kipekee, iliyoleta kumbukumbu za mzeituni, sasa ikawa nzito zaidi. “Mpenzi wangu, kwa hakika hii ni sabuni nzuri.”

Funzo:

Hadithi inayohusu mwanaume ambaye amenunua sabuni kama zawadi kwa mke wake. Harufu ya sabuni ndiyo inayomfurahisha sana mkewe. Ijapokuwa hali ya maisha ni ngumu, Simingi amenunua sabuni kwa mapenzi makubwa kutoka moyoni…, nayo harufu ni ishara na kumbukumbu ya mapenzi baina ya mke na mumewe.

(Visited 560 times, 1 visits today)

Fredrick Chepkonga

Mr. Fredrick Chepkonga is an educator and writer in Kenya with great experience in writing and research on education, economics, and finance topics. He has passion in mentoring young people to develop responsible citizens and future leaders.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Short Stories

Shiro Part 3: At My Wit’s End

At your lowest moment, you need someone or something to startle you and push you to your limits. In this episode, it was cold and the silly act of a thief that pushed ‘me’ to the edge. I was woken by the sound of a hooting bus before dawn. The first idea that came to […]

Read More
shiro part 1
Education News Short Stories

Shiro Part 2: One Night in the Dugout

I went back home at around 6 P.M. to face the music. Up until then, I had forgotten everything, including myself. I recollected by treacherous senses when I alighted from the Kenya Bus at Kikuyu stage. “Do I really have the reason or motivation to face my uncle at this time?” I asked myself. It […]

Read More
Joe Willock against Liverpool
Educational Articles Short Stories

Joe Willock: The Wish of Every Young Talent

When Joe Willock appeared in the Carabao Cup Round of 16 yesterday, few people had much expectations from him. Playing alongside experienced players such as Xhaka and Bepe, he and other young players like Nketiah and Saka gave their best in the game. Willock does not get involved in many goals, but he’s definitely influential […]

Read More